UAH is secular, intellectual and non-aligned politically, culturally or religiously email discussion group.


[UAH] KIPIGO TOKA KWA MPENZI WAKO NI MAPENZI YA DHATI


Nilikuwa na mahusiano na jamaa mmoja dah huyu jamaa alikuwa ananipenda kweli kusema kweli ,ila tatizo lake ni kipigo 

alishanipa mkongoto wa haja kama mara tatu hivi

alinipa kipigo jamani siku moja kidogo nife nikaona cha kujifia

yaani nilipigwa siku hiyo duh nikamwambia mother nimeanguka kwenye mti wa parachichi ilikuwa maafa

tatizo ilikuwa ni simu tu jamani kiukweli nilikuwa nachat chati na mwanaume mwingine ila alikuwa sio mpenzi wangu.jamaa alikuwa anamind simu yangu sijui vile 

aliinunua...nilichezea vichapo sio kidogo.
at last nikamkimbia 

ila nimenotice mwanaume /mke anaekupiga ana upendo wa kweli hawezi kuishi bila wewe so anatumia any defenceve mechanism kukukeep!

  fight for your love !...Au unasemaje Mdau?
TOA MAONI YAKO HAPA


___________________________________
Gwokto La'Kitgum

Sharing is Caring:


WE LOVE COMMENTS


0 comments:

Post a Comment

Popular Posts

Blog Archive

Followers